DB COOPER-IAN MUNYWE
Ka DB cooper sina pupa,
nitaondokea pia muda ukifika.
Daily kukachora kuzuia swara,
bila rwaara bado ninang`ara.
kaka dada mama baba,
nawatakia mengi mafanikio.
nahisi kama Jimi Hendrix,
back in 69 huko woodstock,
ama king Bob Marley in 79 santa barbara.
vibe ilikuwa safi pia,
John Lennon akiwa madison square in 72.
basi tunazidi kwa bidii,
maombi tele ili majaaliwa tufike kilele....
Continue reading...