COME CLOSER TO ME
Trelos ya sena
COME CLOSER, LOVE YOU TRUE,
Ella Konda mou na sou po,
MAY I HUG YOU,
Na s’angalyaso an boro,
I DANCED WITH YOU LAST NIGHT,
Ma ze sou horepsa egthes,
FOR ME YOU SEEMED SO RIGHT,
Agapi mou apo pou erthes?
COME CLOSER FOR IT IS MY AIM,
Ella Konda, na sou po,
TO TELL MY SECRET, THIS NO GAME,
To mistiko mou ella tho,
TO STAY WITH ME I ASK,
Thellou na zesume mazi.
ENJOY OUR YOUTH AND IN IT BASK.
Me tin igia mas ke krasi
WE WILL LOVE, KISS AND SIP FROM WINE,
Sta hili sou ena fili, se agapo toso poli,
AND WHILST WE DINE,
Ke an to potiri me krasi
IF A GLASS MAY FALL, BREAK AND SPILL,
Pote hethee,
LET IT BE ON ME, IF IT WILL.
Na eme ego,ke ohi esee.
TOLD YOU THE SECRET TO MY HEART,
Goritsi mou, kseris ese to mystiko,
YOU WERE MY LOVE FROM THE START,
Apteen arhee esoona esee,
YOU KNOW I CANNOT LIVE WITHOUT YOU, SO
Yati horis esena then boro,
FOREVER YOU’RE MY GAL AND ME YOUR BEAU.
Eeme trelos ya sena mono esena agapo.
NB - An English/Greek Love Song
Categories:
hili, dance,
Form: Couplet
Heather on the Hili
*******
kind sun doth billow
on my heather on the hill
heaven's beauty, still
11-21-2020
Categories:
hili, flower, imagery,
Form: Haiku
Katikati ya pango la upweke,
Najiona niko na wenge,
Kukata tamaa kuongezeka,
Fikra nazo kusononeka.
Natafuta pa kuponeka,
Pango hili kulikwepa,
Matumaini kutoweka,
Pangoni Niko gizani.
Ghafla mwangwi watoka wapi!?
Mwangwi huo wataka nini!?
Kumbe Mwangwi wa mapenzi,
Wanionyesha mwangaza.
Mapendano pasi masimango,
Ndio jadi ya mwangwi huo,
Mapambazuko ya hisia,
Pangoni nitoke hapo.
Nishakuwa na mapepe,
Pangoni siko tena,
Mwangwi huo wa mapenzi,
Wanishibisha mapenzi.
Categories:
hili, dance, dream, fantasy, fun,
Form: Acrostic
UPENDO WANGU NIPENDA KWENYE MOYO WAKO-MY LOVE I LOVE YOU BEYOUND YOUR SOUL part 3
upendo wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
harufu ya nafsi yako;
ukurasaant wa mlio wako;
Hii ina maana gani kweli;
Busu ya pumzi yako;
Mkojo wako kipofu;
upendo wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
upendo wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
Ananiacha uaminifu waziwazi;
upendo wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
Ninakupenda zaidi ya nafsi yako;
Kama kugusa kwa roho yako;
Ananifanya niwe mzima;
Kwa mpenzi wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
Na pekee yangu nitapenda nitakuacha;
Na hili ndilo lajua;
Kwa mpenzi wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
Kwa mpenzi wangu nakupenda zaidi ya nafsi yako;
1/1/18
written by James Edward Lee Sr. ©2019
Categories:
hili, appreciation, desire, i love
Form: Free verse
SPASIBA
Spasiba,
spasiba.
Kwa mwenyezi,
bila kipimo nakuenzi.
Spasiba,
spasiba.
Kwa mama ulileta duniani,
na kunilea.
Spasiba,
spasiba.
Kwa marafiki wa kikweli,
sio wahuni.
Spasiba,
spasiba.
Kwa wahusika wote wenye nia njema,
sio wenye sumu kwenye sindano.
Spasiba,
spasiba.
Kwa maadui washirikina na wenye fitina,
wasio na utu ila tu unafiki.
Garagazano hili,
hamwezi.
Spasiba,
spasiba.
LiterarySpaceAfrica Ian Munywe©
Categories:
hili, appreciation, brother, family, sister,
Form: Free verse
KENYA
Ndege ya unyanyapaa inapaa,
kila siku ni balaa.
Alaa,
alaa!
Hamna kazi,
swali hili ni wazi.
Haya sio maneno tu,
bali ni kilio cha waja.
Wengi wanaodhulumiwa,
kilio ni cha haki!
Tumechoka na uhuni,
unaokiuka kanuni.
Vyakula,
bei ghali!
Maisha yetu yamo mnadani,
dalali mate yanamdondoka!
Sisi sote ni binadamu,
ni wakati.
Tuungane,
tuimarishe nchi yetu.
Kenya,
ni yetu sote.
IAN MUNYWE©
Categories:
hili, class, conflict, discrimination, humanity,
Form: Free verse
TUNU ISOKIFANI
Kwa fahari najigamba, mataifa natangaza,
Mahari kote natamba, penye nuru hatagiza,
Mnene hata mwembamba, sifa zote namaliza,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
Chakula changu asili, matunda tele nachuma,
Chastahili kimwili, cha wengine ntalalama,
Kisotiwa kemikali, huwezi tamani tema,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
Rangi yangu maridhawa, watambua walimwengu,
Rangi ile ya uzawa, na sikama ya kizungu,
Raha nakshi kutiwa, na nyeusi rangi yangu,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
Wajiona takataka, kutamani visovyao,
Puani vinawatoka, na visokoma vilio,
Amakweli waumbuka, vyawakaba kwenye koo,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
Nimetulia Mawenzi, mevuka vingi vilima,
Ni zamu yao washenzi, mizigo kwa wao mama,
Nyuso zenye makunyanzi, watembea kiinama,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
Uzuri wa kitu sasa, waja kwa historia,
Kosa kurudia kosa, la Ndugu alokosea,
Jikinge na hili kosa, na tao kufuatia,
Ni tunu isokifani, kuzaliwa Afrika.
By
MUSSA SHIKOME
Categories:
hili, africa,
Form: Salaam