Get Your Premium Membership

Best Kila Poems


Kaka Fisi- Swahili
Kakangu kaka fisi
Kila time wala misi
Ulalapo uamka kesi
Kwani wewe mesi?

Wasema wapiga tizi
Tizi tizi na ni kizi
Halafu hauna wasi
Wazi unakaza fizi...

Continue reading...
Categories: kila, youth,
Form: Didactic
Premium Member Swahili Praise
English verse>
gimme sum mutual praise
gimme sum mutual praise
gimme sum mutual praise
All them there people's of the world;
Coastal dwellers praising; All day long, all the day long;
Rejoicing, and repenting of their wrongs.
Everybody on the islands;
Everywhere on the coastal Regions on the seas, lakes, oceans, everywhere;
Sahil ...

Continue reading...
Categories: kila, appreciation, community, endurance, engagement,
Form: Lyric
Pity My City
Pity my city
I pity my city there is no dignity in this city
There is no justice no freedom
Street children in a locked hall, shocking
County council overworking
The city must be clean so some humans are garbage
Some are cabbage, the garbage pay the damage
No houses sleep on...

Continue reading...
Categories: kila, city, corruption, evil, humanity,
Form: Ballad

Book: Radiant Verses: A Journey Through Inspiring Poetry



Beer Sio Maziwa
Sijui ni wangapi wata'define my history,
Wakitumia hii story.
But kitu najua ni ati nkifa,
maybe;
Walevi ndo watachangisha doh kwa matanga,
na maybe;
Wengi watasema Marto alikuwa tanker.
Na ukijaribu ksema marto alikuwa wa youth ya church,
apo ndo MC atalenga iyo story.
Maybe eulogy yangu itasomwa ka' short story,,
But beybie nataka utumie...

Continue reading...
Categories: kila, art, break up, drink,
Form: Epyllion
Shoga Atoka Ulaya
Juzi juzi tulikuwa tunakutana 
Kwenye mishwari tulipitana
Hili na lile tuliambiana
Menzangu ukaenda majuu
Kufika kule ukajiona wewe mungu 
Uliotuacha huku nyuma ukatufananisha na vyungu 
Haya yote yalinifanya nihisi uchungu
Lakini usijali siku hadi siku Nitarudisha zangu nguvu.

Umerudi jana, kimya kimya unaogopa kurogwa 
Waache kurogwa wenye mahela Urogwe wewe...

Continue reading...
Categories: kila, emotions, environment,
Form:
21st Century Love
Ilianza na masalamu za hewani.
"Niaje".
Masmile za confusion,
Fusion ya lust na trust,
Compilation ngori ju huoni mahali mnafikishana
Mbio za ujana huishia kitandani,
Au kwa cell ndani.

Makosa ni kukosa kuona future
Kwa mkono nikatattoo hour glass,
So that every morning nikiamka kwa bed yake najua ni turn ya another lass.

Same script,same...

Continue reading...
Categories: kila, africa,
Form: Dramatic Verse



Kenya-Ian Munywe
KENYA
Ndege ya unyanyapaa inapaa,
kila siku ni balaa.
Alaa,
alaa!
Hamna kazi,
 swali hili ni wazi.
Haya sio maneno tu,
bali ni kilio cha waja.
Wengi wanaodhulumiwa,
kilio ni cha haki!
Tumechoka na uhuni,
unaokiuka kanuni.
Vyakula,
bei ghali!
Maisha yetu yamo mnadani,
dalali mate yanamdondoka!
Sisi sote ni binadamu,
ni wakati.
Tuungane,
tuimarishe nchi yetu.
Kenya,
ni yetu sote.
IAN MUNYWE©...

Continue reading...
© Ian Munywe  Create an image from this poem.
Categories: kila, class, conflict, discrimination, humanity,
Form: Free verse
Premium Member Kwa Kweli Come On Part 2
Swahili verse

We, bwana
Kaw kweli
Kwa kweli
Hebu ngoma yaani HIM
Kwa kweli
Kwa keeli
Kuja juu sasa
Hebu kuimba, sifa
Kuimba kwa sauti nyimbo na
Sauti kwa mfalme
Mkuu mimi ni
Baba, Mungo wa Baba
Njoo sasa, njoo sasa
Hebu kuabudu kwanza hapa duniani
Silaha na mikono aliinua juu kuelekea mbingu
Hebu kuabudu, hebu ibada
Kuja juu, kuja juu;
Pazeni sauti...

Continue reading...
Categories: kila, beautiful, blessing, celebration, dedication,
Form: Free verse
Premium Member -- Kukupenda Wewe Loving You Loving You --Swahili
-- Kukupenda wewe  Loving you  Loving You --swahili

Kukupenda wewe Loving you  Loving You
Kukupenda wewe Loving you  Loving You
Kukupenda wewe Loving you  Loving You
Hakuna mtu anayeweza kuwa bora zaidi kuliko wewe;
Hakuna mtu anayeweza kupamba uzuri wako;
Milele, hivyo kukumbatia;
Na kama upendo kwamba...

Continue reading...
Categories: kila, analogy, appreciation, celebration, desire,
Form: Lyric
Premium Member And I Love U Na Ninampenda U --- Part 2
And I
And I love you
And I
Adore you
And I love  U
And I love U
And I love U
I love U

And I
I love you
And I pray often, that you
Will choose me to be
Be your earthly King
For I’ll treat you like a Queen
God made you that for me
And...

Continue reading...
Categories: kila, appreciation, desire, for her,
Form: Lyric
Premium Member In His Praise Praise Him Worthy-Mola Wetu Mungu Wetu Sifa Inastahili
In His Praise                    Mola wetu
                   Mungu wetu 
...

Continue reading...
Categories: kila, blessing, dedication, devotion,
Form: Lyric
Premium Member Talkin Bout 'Ahunda Part 2-Swahili Verse
Talkin bout 'Ahunda,
Talkin bout 'Ahunda,
Talkin bout 'Ahunda;

Mtu huyu huko na suti ya kijivu cha flannel;
Yeye huko juu na takataka ya kuzungumza kwa kinywa hizNi jivin kufikiriNi yeye ni mzuri sana;
Na kumchukua dada huyo huko, yeah man i mean yea yeye ni mzuri na mzuri;
Lakini yeye...

Continue reading...
Categories: kila, adventure, analogy, appreciation, celebration,
Form: Free verse
Om Namay Shivay
Om namh shivay 

Paal paal leyta mai sansey maa tere dhakan ki awaz par 

Dhayan mai dhayan lage jisme ho bas devi apki awaz 

Na raaza aaye koi kila na koi 
Mandir bas intazar karti ho shamsano mai 

Roz ogey jo sooraj garibo ka bharthi...

Continue reading...
Categories: kila, 2nd grade,
Form: Double Dactyl
Premium Member A Dedicated Verse To Student Elijah Johnson Brother Nightingale
inahitaji kuimba mbele
 ya wanakwaya kila mahali
Sing brother sing
Imba kaka imba 
Imba kaka imba

Nightingale brother
His name is Elijah 
He's a nightingale 
His God is still the same 
A young Nightingale repeats the repertoire he hears 
As he knows God's name 

He strikes a pose 
Sings...

Continue reading...
Categories: kila, 9th grade, boy, celebration,
Form: Dramatic Monologue
A Bizarre Naked Dance
In Ongata Rongai's club, a memory song weaves,
A tale of Newton Karish and daring thieves,
Late '90s, New Year's Eve, a lively show,
A sold-out crowd, in high spirits, they'd go.

Karish, unlike modern stars who mime,
With a live band and dancers, he'd shine.
From 10 pm till dawn's...

Continue reading...
Categories: kila, celebration, humorous, new years
Form: Narrative

Book: Reflection on the Important Things