21st Century Love
Ilianza na masalamu za hewani.
"Niaje".
Masmile za confusion,
Fusion ya lust na trust,
Compilation ngori ju huoni mahali mnafikishana
Mbio za ujana huishia kitandani,
Au kwa cell ndani.
Makosa ni kukosa kuona future
Kwa mkono nikatattoo hour glass,
So that every morning nikiamka kwa bed yake najua ni turn ya another lass.
Same script,same characters.
Vijana ni wale wale.
Pangoni ni pale pale.
Set huchange na weatherman.
Ndio hata socks huwa ni question ya aftermath.
Virusi ama shopping list ya mapampers
But
Bands still made her dance.
She discovered the secret to it all nikunyamaza and smile like Mona Lisa,
Kutumbukiza vidole kwa maji ya uhai
Ndio ata kesho ukimwai,asubuhi bado dignity na ngwai ziko mkononi mwake.
Sala na ibada ikawa ni lazima
Ju hujui next time inakupatia wapi...kwa mama Bima ama kwa kina nonini.
Ndio Nani...saa ngapi...
Masharti tuliwachia kina baba na mama,
Tukipatana just make sure tunaheshimiana
Maneno ya fanya hivi,usifanye...ni hadithi ya wahenga.
Hakuna love.
Love nikujilove.
Love nikuamini ukipata ball na Jina yako si MRS
We ni single mother.
Kuishi na yeye ni kalongo ya baba na mama,
Lazima brikicho itachezwa usiku.
Machozi ni ile ile,barabara iko vile vile umeitengeneza ju ulikubali kuketi kwa meza na kunegotiate love.
Hakuna tafauti na geneza,6 feet under
Mchanga ikiongezwa.
Usiulize kwa nini mashonga ni wengi
Na kila Dame ni lesbian,
Wamatha na vitambi wanateka maboy,
Masponsor ndio lingo ya wababa
Harusi na watoto kageuka biashara.
Ntaplay along
Na delusion ya Prince charming na white horse.
Lakini deep down,
Hakuna love.
2016.
Copyright © Olive Wambui | Year Posted 2016
Post Comments
Poetrysoup is an environment of encouragement and growth so only provide specific positive comments that indicate what you appreciate about the poem.
Please
Login
to post a comment