Best Huo Poems
Mwangwi Wa MapenziKatikati ya pango la upweke,
Najiona niko na wenge,
Kukata tamaa kuongezeka,
Fikra nazo kusononeka.
Natafuta pa kuponeka,
Pango hili kulikwepa,
Matumaini kutoweka,
Pangoni Niko gizani.
Ghafla mwangwi watoka wapi!?
Mwangwi huo wataka nini!?
Kumbe Mwangwi wa mapenzi,
Wanionyesha mwangaza.
Mapendano pasi masimango,
Ndio jadi ya mwangwi huo,
Mapambazuko ya hisia,
Pangoni nitoke hapo.
Nishakuwa na mapepe,
Pangoni...
Continue reading...
Categories:
huo, dance, dream, fantasy, fun,
Form:
Acrostic