Best Poems Written by Jacqueline Njama

Below are the all-time best Jacqueline Njama poems as chosen by PoetrySoup members

View ALL Jacqueline Njama Poems

Details | Jacqueline Njama Poem

Nitaolewa Kesho

Wasema subira yavuta kheri,
Kamba iliyovuta kheri yakatika,
Yakatika na Uzito wa huba, uliojawa na mahaba,
Na safari ya mapenzi, iliyojaza sheheni,
Kwake nimetia Nanga, sihitaji kivuko,
Nasema hivi, Nitaolewa kesho.
Haba na haba hujaza kibaba,
Kibaba kilichosheheni mapenzi ya Dhati,
Moyo ukafurika, kwa pepo za mapenzi yake,
Sihitaji feni zenyu, kwake upepo napata,
Nasema hivi, Nitaolewa kesho.
Safari ndefu ya mapenzi, iliyojawa machafuko,
Chombo alishikilia usukani, captain wa mapenzi,
Zake huba haziyumbishwi, kwa nyangumi au papa,
Nasema hivi, Nitaolewa kesho.
Hayawi hayawini sasa, yamekuwa na kunenepa,
Yanini kukondeana, wakati twashibana,
Sifurukuti hafurukuti, mapenzi Ndiyo nguzo yetu,
Nasema hivi, Nitaolewa kesho.
Yalianza kama chemichemi, sasa yafurika kama bahari,
Ilikuwa ni bahati, kufurika kwake hivi,
MUNGU AKITUJALIA, Hii ya kesho tatimia,
NASEMA HIVI, NITAOLEWA KESHO

Copyright © Jacqueline Njama | Year Posted 2019


Details | Jacqueline Njama Poem

Mwangwi Wa Mapenzi

Katikati ya pango la upweke, 
Najiona niko na wenge,
Kukata tamaa kuongezeka,
Fikra nazo kusononeka.
Natafuta pa kuponeka, 
Pango hili kulikwepa,
Matumaini kutoweka,
Pangoni Niko gizani.
Ghafla mwangwi watoka wapi!?
Mwangwi huo wataka nini!?
Kumbe Mwangwi wa mapenzi,
Wanionyesha mwangaza.
Mapendano pasi masimango,
Ndio jadi ya mwangwi huo,
Mapambazuko ya hisia, 
Pangoni nitoke hapo.
Nishakuwa na mapepe, 
Pangoni siko tena,
Mwangwi huo wa mapenzi,
Wanishibisha mapenzi.

Copyright © Jacqueline Njama | Year Posted 2019

Details | Jacqueline Njama Poem

Hide and Seek

Hide and seek I can't no more,
Every time they tried to hide,
Feelings revealed,
Secretes of love explode,
Is like a bomb of love inside my heart,
Explode like nuclear bomb,
Is not a secret any more,
I tried to play and hide
Feelings about,
"Love is on his mind"
Oh my God who told you to say,
I was trying to play,
But hide and seek game,
Explore my heart,
I've try and tried,
Hide under the sea, feelings explode,
Hide under the ground, feelings explode,
Hide and seek, why doing that to me,
It's not my fault,
Passion and Emotions started it,
They shout louder and louder,
Am in love yes,
But now I quit, To play hide and seek.

Copyright © Jacqueline Njama | Year Posted 2019

Details | Jacqueline Njama Poem

Mapenzi Kuniteka

Kosa Lipi kukukosea?
Penzi Mbona waniteka!
Hisia sizo tetereka,
Kuni za huba kuchochea,
kambani kunifunga,
Penzi nisikutoke,
Hata usiponifunga,
Penzi siwezi ponyoka.
Mitetemo yenye huba,
Mapigo ya moyo kuchonyota,
Yanifanya kibogoyo,
Hali kuwa nna meno,
Niseme nini tena?
Penzi laniteka!
Kutekwa penzini,
Kutoroka siwezi.
Mtekaji ni laazizi,
Kwa Mapenzi simuwezi,
Kanifunga kwa hisia, 
Minyororo yenye kopa,
Kutoroka mie siwezi,
Kwa mapenzi namuenzi,
Ameniteka milele,
Burudani yetu milele.

Copyright © Jacqueline Njama | Year Posted 2019

Details | Jacqueline Njama Poem

Gun

* GUN *
Some evil world,With evil hearts,
Pour the blood without guts,
What the world are we live in,
Is this what we named peace,
Evilness to be preached,
Lives to be shattered,
And blood to be scattered,
Making better world by guns?
Human blood became laboratory,
Killing without territory,
Happiness scattered by fear,
Fear to loose life,
Peace became stranger,
Stranger in humans lives,
Holding gun as chickens feet,
Becomes fashion,
Fashion that attracts criminals,
Criminals that chase away smiles,
Smile's in peoples lives,
Time has come,
To stop the gun,
To stop shooting innocent creatures,
Created by God,
Become warrior of peace and not warrior of war

Copyright © Jacqueline Njama | Year Posted 2019


Get a Premium Membership
Get more exposure for your poetry and more features with a Premium Membership.
Book: Reflection on the Important Things

Member Area

My Admin
Profile and Settings
Edit My Poems
Edit My Quotes
Edit My Short Stories
Edit My Articles
My Comments Inboxes
My Comments Outboxes
Soup Mail
Poetry Contests
Contest Results/Status
Followers
Poems of Poets I Follow
Friend Builder

Soup Social

Poetry Forum
New/Upcoming Features
The Wall
Soup Facebook Page
Who is Online
Link to Us

Member Poems

Poems - Top 100 New
Poems - Top 100 All-Time
Poems - Best
Poems - by Topic
Poems - New (All)
Poems - New (PM)
Poems - New by Poet
Poems - Read
Poems - Unread

Member Poets

Poets - Best New
Poets - New
Poets - Top 100 Most Poems
Poets - Top 100 Most Poems Recent
Poets - Top 100 Community
Poets - Top 100 Contest

Famous Poems

Famous Poems - African American
Famous Poems - Best
Famous Poems - Classical
Famous Poems - English
Famous Poems - Haiku
Famous Poems - Love
Famous Poems - Short
Famous Poems - Top 100

Famous Poets

Famous Poets - Living
Famous Poets - Most Popular
Famous Poets - Top 100
Famous Poets - Best
Famous Poets - Women
Famous Poets - African American
Famous Poets - Beat
Famous Poets - Cinquain
Famous Poets - Classical
Famous Poets - English
Famous Poets - Haiku
Famous Poets - Hindi
Famous Poets - Jewish
Famous Poets - Love
Famous Poets - Metaphysical
Famous Poets - Modern
Famous Poets - Punjabi
Famous Poets - Romantic
Famous Poets - Spanish
Famous Poets - Suicidal
Famous Poets - Urdu
Famous Poets - War

Poetry Resources

Anagrams
Bible
Book Store
Character Counter
Cliché Finder
Poetry Clichés
Common Words
Copyright Information
Grammar
Grammar Checker
Homonym
Homophones
How to Write a Poem
Lyrics
Love Poem Generator
New Poetic Forms
Plagiarism Checker
Poetry Art
Publishing
Random Word Generator
Spell Checker
Store
What is Good Poetry?
Word Counter
Hide Ad