Get Your Premium Membership

Read Epyllion Poems Online

NextLast
 

BEER SIO MAZIWA

Sijui ni wangapi watadefine my history,
Wakitumia hii story.
But najua,
Wengi watasema nilipenda kuwa high kama towers,
Wengi watasema nilipenda beer,kama kawa.
Maybe story yangu ita'take minutes ama hours,
But beybie nataka utumie hii story kuandika my history.
Najua hii story yangu ita'take months ama years, To sink into your mind through your ears. But ukipeana history yangu, nadai ui'summarize, u'take a few minutes ama hours, na ukumbuke kuwaambia, Beer sio maziwa. So kama lazima wakunywe bas wakunywe maziwa.
Akhi beb naskia tu kukuwekea hard drugs kwa hii story, Ndo usikuwe na hard tym kuwapea our history. But for now ile drug najua ni tu guinness, Nakumbuka juzi nilikunywa tu nne. Najua ilinifanya nifil nkiwa high, Na kama ningekueka bol nkiwa high, Najua tu unge'abort-si nakujua. For now nimeona tuongee tu kwa phone, ju, For now sitaki tu unione, For now nataka tu ninone. But nitanonaje kama lunch nabuy tu chapo dodo, Yet jioni nabuy guinness ati ju iko na chupa nono.
Refrain
Sikatai beer ilinifanya nfil nkiwa so high, But the more nlifil so high, The more my self esteme iliget so low. Na vile tu esteme yangu iliget so low, Ukaniacha, nkabaki nalia solo. Nlitry ku'commit suicide but nkaona nki'fail, nta'end up kwa court of law. So nliponea kwenda Kamiti, But ukanieka kwa prison of your memories. Na nkiwa kwa hiyo prison of your memories, Nikajiona, Na'smoke weed na kunyonga joint all day nkijidanganya nko meditation, Nachana miraa all night nkijidanganya nko jabaration. Ukansho beb, Achana na miraa kam tufanye procreation, Kumbe izo zote zilikuwa hallucination.
Refrain
It sounds funny, vile; Hukuniskiza tym nlikuomba love, aki beb na vile nlikubeg, But uliniskiza tym nlikwambia beb geuka nkubeng. Sorry nlitumia time yako kujikosea respect. Huskii nlijifanya dictatorial ruler kama emporor, Nikasahau you were the only empress in that empire.
Refrain
Beb, while you were right by my side, Kila kitu ilikuwa right. But since uleft, Nimekuwa mchafu siogi, Wase wanansho nko na uchafu but siioni. Agh naskia credo inanipea warning, So chill ntakpiia jioni, But usisahau kuwaambia, Beer sio maziwa, So kama lazima wakunywe, basi wakunywe maziwa.

Copyright © MARTIN MACHARIA

NextLast