Get Your Premium Membership

Read Kaka Poems Online

NextLast
 

Kaka Fisi- Swahili

Kakangu kaka fisi
Kila time wala misi
Ulalapo uamka kesi
Kwani wewe mesi?

Wasema wapiga tizi
Tizi tizi na ni kizi
Halafu hauna wasi
Wazi unakaza fizi

Copyright © Moses Kisiang'Ani Makhakha

NextLast



Book: Reflection on the Important Things