Lyrics |
Ki Swahili(verse:1) Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na udugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi.(verse:2) Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda(verse:3) Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani Sent by Carlos Andr é Pereira da Silva Branco
|