Greeting Card Maker | Poem Art Generator

Free online greeting card maker or poetry art generator. Create free custom printable greeting cards or art from photos and text online. Use PoetrySoup's free online software to make greeting cards from poems, quotes, or your own words. Generate memes, cards, or poetry art for any occasion; weddings, anniversaries, holidays, etc (See examples here). Make a card to show your loved one how special they are to you. Once you make a card, you can email it, download it, or share it with others on your favorite social network site like Facebook. Also, you can create shareable and downloadable cards from poetry on PoetrySoup. Use our poetry search engine to find the perfect poem, and then click the camera icon to create the card or art.



Enter Title (Not Required)

Enter Poem or Quote (Required)

Enter Author Name (Not Required)

Move Text:

Heading Text

       
Color:

Main/Poem Text

       
Color:
Background Position Alignment:
  | 
 

Upload Image: 
 


 
 10mb max file size

Use Internet Image:




Like: https://www.poetrysoup.com/images/ce_Finnaly_home_soare.jpg  
Layout:   
www.poetrysoup.com - Create a card from your words, quote, or poetry
Sisi Kama Sisi
Tatizo letu sisi kama sisi ni kwamba hatuna elimu lakini ni wajuaji Tatizo letu sisi kama sisi ni kwamba hatutaki kutembea bali kukimbia Tatizo letu sisi kama sisi ni kwamba hatushibi, Tunakula mpaka tunajamba Tuna ujeuri usiokuwa na faida Tuna ujeuri usiokuwa wa kawaida Na tunaona ni sawa tu. Tatizo letu sisi kama sisi ni wanafiki, Tunasema ndio kumbe tunamaanisha la Tatizo letu sisi kama sisi ni wavivu, hatuoni maana ya kuchapa kazi, Sio kufanya kazi bali kuchapa kazi Tuna ujeuri usiokuwa na faida Tuna ujeuri usiokuwa wa kawaida Na tunaona ni sawa tu. Tatizo letu sisi kama sisi hatupendani, Tunathamini watu wa nje kuliko wa ndani Chakushangaza hata hawa ndugu zetu kina nyani Huwa wanapeana heshima fulani Tuna ujeuri usiokuwa na faida Tuna ujeuri usiokuwa wa kawaida Na tunaona ni sawa tu. Sisi kama sisi hatuwezi kuendelea Maana tayari kizazi chetu kimeshapotea Wale waliobaki kazi yao kubwa ni kuwaonea na kuwatendea wale wenzao wanao wategemea Ule ujeuri usiokuwa wa kawaida na faida sasa umebaki kutuzomea Na tunaona ni sawa tu. © SMS
Copyright © 2025 Shamsa Suleiman. All Rights Reserved