Submit Your Poems
Get Your Premium Membership
Hustle Ya Life

Dan Adimi Avatar  Send Soup Mail  Block poet from commenting on your poetry

Below is the poem entitled Hustle Ya Life which was written by poet Dan Adimi. Please feel free to comment on this poem. However, please remember, PoetrySoup is a place of encouragement and growth.

Read Poems by Dan Adimi

Best Dan Adimi Poems

+ Fav Poet

Hustle Ya Life

Life ni hustle,
Na kama tussle,
Wakati mwingine huumiza moyo.

Kuna kupanda na kushuka,
Kulia na kucheka,
Na kama mchana,
Bingu bila jua,
Baada ya huzuni huja furaha.

Kama soldier,
Imara kusimama,
Machungu ya maisha,
Kama mafuta kwenye kidonda,
Uchungu hutuliza.

Kusonga mbele haimaanishi kusahau jana,
Na masahibu ya jana kuisha,
Haimaanishi kesho hayatarudi.

Kumaanisha? Machozi ya leo,
Kesho ni makumbusho,
Na moyo kuvunjika leo,
Kesho ni ngao, 
Ya kujinasua kutoka kwa mtego.

Post Comments

Please Login to post a comment
  1. Date: 1/4/2013 1:55:00 PM
    Welcome to Poetry Soup, I bet that's a fine poem! Light & Love