Get Your Premium Membership

Hayakuhusu Anayekubusu

Nakwambia ndugu Masanja kwani yanakuhusu anaye nibusu? Kwani nauliza, lazima nije kwako niombe uniruhusu? Mwaka Juzi nilijaribu kufanya hivyo, ndani kwako ukanitoa na kisu Ukawaonya majirani na ndugu wakae mbali na mimi maana akili zangu nusu Kweli ndugu yangu , leo unataka nije kwako uniruhusu? Kwani wewe, lini umekuwa wangu mtu? Wakunisimanga na kulikemea nakula vyako vitu? Wakati unanipa ulisema hivi vyote vya kwetu! Angalia tumi macho twako kama chatu Unaki mbelembele kama fyatu Sitaomba wala kutaka vyako vitu Nilijaribu na kuapa sito kuja kuthubutu Nakwambia Ndugu yangu, hayakuhusu anaye nibusu!

Copyright © | Year Posted 2016




Post Comments

Poetrysoup is an environment of encouragement and growth so only provide specific positive comments that indicate what you appreciate about the poem.

Please Login to post a comment

A comment has not been posted for this poem. Encourage a poet by being the first to comment.


Book: Reflection on the Important Things