Get Your Premium Membership

Best Poems Written by Bfg Rap Icon

Below are the all-time best Bfg Rap Icon poems as chosen by PoetrySoup members

View ALL Bfg Rap Icon Poems

Details | Bfg Rap Icon Poem

Options

Mafunzo ya kupata mtoto haiitaji tution chukua OPTION ya kuumiza matress na cussion but decision isikue abortion is the OPTION
ilikua date 2 month 2 alipomuambia I love you too so after night two ,alipata mimba na hawakua na akiba five minutes of pleasure iligeuka days of pressure community iliwanyima credit ikaamua ku wacriticise, hao walikua na akili ndogo wakaogopa kuthink twice wakaamua ku flash mtoi ndio stress wa minimize akakunywa strong tea na yeye ni mweak, majani mingi miscouriage after a week, what’s funny ni community ilianza kuongea matope after mpenzi wake ameacha kunyesha io big mistake ilimfanya awe tasa day after day tumbo yake anapapasa uchungu wa mwana alijua maana alikosea sana ,alikosea maulana I bet kulikua na carton ju naskia box , aliingia Boy akamuambia I love you dem akasema nakupenda pia It was just about time akamdungia , hello my dear sato unaeza pitia kuna kitu ningependa kukuambia Hakumtrust but alikua sure ako salama na although alijua ako wrong ali go on akafanya Few months late nilidhani ako na kitambi am not righteous GOD ndiye alijua ni dhambi So dem ali call ,hello baby I think niko capital D I wish ungetumia CD But boy akamshow skiza ikop hivi hiyo advert sikuona kwa TV na kwa body sin ahata TB So usinshow story za STD ju dem alilelewa na guka alikua like maskini babu yangu kikaza kilipasuka of which hata angekua na doh aezi nunua ingine kwa duka so ilibidi ameterminate hii river from the source although huyu mtoi angekua na meli , alichoose kumABORT mayouth musikue na akili ndogo ka panya alafu mpeana pussy na mkiena msikue wajinga ,tumieni kinga waswahili walisema tuongee ukweli ana kwa ana so msijaribu kudanganyana tufanye nyama kwa nyama so sister hata kiwete hushika moba bila mikono na wasikudanganye kukula sweety na karatasi ita reduce cavity wasikudanganye virginity is lak of opportunity ju the post expensive airline ni virgin atlantic so sister uyo boy una bother akuvulie toja akikutatha utakubali kukua mother na kijana uyo dem una bother akuvulie ngotha akizaa utakunali kukua father ka uko na mbio sana unaeza kimbilia kenya steeplechase but usikimbilie ngono so my sister mind your skirt
Mafunzo ya kupata mtoto haiitaji tution chukua OPTION ya kuumiza matress na cussion but decision isikue abortion is the OPTION

Copyright © Bfg Rap Icon | Year Posted 2016




Book: Shattered Sighs